Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Timu ya maskin🤣😂Cha muhimu point 3 kelele za makolo hazina faida kwetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya maskin🤣😂Cha muhimu point 3 kelele za makolo hazina faida kwetu
Vibonde wa Ihefu ongezea hiyoFC Utopolo, Manyani, Vidimbwi, Vyura, Rushwa, Mihogo, Mwiko Nyuma, ...
Bila wala rushwa chama,baleke,inonga, kapombe?Kesho Mnyama tunarudi kwenye level zetu!!
Mlifikiri mngeweza kututoa kwenye mchezo?Bila wala rushwa chama,baleke,inonga, kapombe?
Kama mnacheza bila mungu wenu chama hakika namungo watawafilimba vibaya
Huna timu wachezaji wenyewe wanakabia macho mtampa lawama Matola.Tutawapiga kama ngoma
SawaLeo nipo Coastal
Dawa ya juzi bado inafanya kazi tulia utaharibu doseTimu imejaa mabodaboda ,wauza maji stend na miwa[emoji1787] yangaa hiyo
Wanauzaga na ukwaju wa Azam stendi 😂Timu imejaa mabodaboda ,wauza maji stend na miwa🤣 yangaa hiyo
Acha maneno mengi.Huna timu wachezaji wenyewe wanakabia macho mtampa lawama Matola.
Namungo tunajua mfadhili wake ni shabiki wa Kolo ila kama akisema akaze ushindi wenu droo. Azam na quality yake kala tatu, Yanga kapata goli dk ya 85.
Wewe timu huna,wachezaji hawana fitness/wazee, wakiporwa mpira wanajivuta na ndicho kilicho wafanya mle tano.
Kama kawaida yenu msimu huu cleansheet mnazitafuta kwa tochi kwani una cleansheet mbili tu mechi zote umuruhusu magoli.
Sisi ni vibonde wa IhefuVibonde wa Ihefu ongezea hiyo
Timu ya maskin🤣😂
Shirikisha ubongo na akili kwanza. Timu imetoka kucheza mechi ngumu dhidi ya Simba siku ya jumapili. Wamepumzika siku moja tu ambayo ni Jumatatu kisha jumanne wamesafiri kuelekea Tanga kisha mechi imecheza leo Jumatano. Hao ni binadamu sio maroboti, timu yako iliyopigwa tano imekaa tu Dar halafu mechi yake imepangwa Alhamisi. Lengo lenu la Yanga kupoteza mechi na hao TFF na bodi yenu ya ligi mpaka sasa mmefeli tafuteni mbinu nyingineDuuh hii ndio Yanga iliyoifunga Simba goli 5, mbona kwa Coastal Union wameishia 1 tu, bila shaka Coastal Union nayo ni timu bora
Safari imeanzaCoastal 2 - 1 Utopolo
Sawa kiongoziTulia kesho sio mbali
Masikini FIMBA!!!!!!Arudi kufanya nn?
Saivi analitafuta anga la Brazil 😂
Amazing!!Sisi ni vibonde wa Ihefu