FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Vibonde wa Ihefu ongezea hiyo
Screenshot_20231108-162350.jpg
 
Shirikisha ubongo na akili kwanza. Timu imetoka kucheza mechi ngumu dhidi ya Simba siku ya jumapili. Wamepumzika siku moja tu ambayo ni Jumatatu kisha jumanne wamesafiri kuelekea Tanga kisha mechi imecheza leo Jumatano. Hao ni binadamu sio maroboti, timu yako iliyopigwa tano imekaa tu Dar halafu mechi yake imepangwa Alhamisi. Lengo lenu la Yanga kupoteza mechi na hao TFF na bodi yenu ya ligi mpaka sasa mmefeli tafuteni mbinu nyingine
Aaaahaaaa

Kumbe ndo lilikuwa lengo lao

Wameula wa chuya
 
Back
Top Bottom