Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Zinakuingizia Tsh ngapi hizo post hadi uteseke hivyo we Kolowizards [emoji23]Vyura wakifunga ndio watatokea hapa uzi wa saa 6 usiku hadi sasa hauna post 250
Kimoko kinauma hahhahahhahaMechi ngumu vipi??? Si mlisema mlijipigia tuu sasa ugumu huo vepeee...?
Kimoko cha bahati...
Ndo maana walipigwa 5 hao makoloZinakuingizia Tsh ngapi hizo post hadi uteseke hivyo we Kolowizards [emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kesho msiseme uzi wetu umepoaZinakuingizia Tsh ngapi hizo post hadi uteseke hivyo we Kolowizards [emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hoja hapa ni ubora wa timu mkuu, point 3 hata Ihefu wametoka kuzichukua juzi tu hapo wala siyo suala, tatizo ni ubora tuKikubwa point 3 mengine mtajua nyie wana lunyasi wazee wa kupigwa 5
Kula chuma ichooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu nile mie nisijichoshe na huu utopolo...
Kesho msiseme uzi wetu umepoa
Bwahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa [emoji851]Akiba ya nini?
Kwani wameshaingia kwenye mfumo?
Mechi halina mvuto utopolo wanabutuabutua tuView attachment 2808172
Chukua 5 za juzi weka 1 ya leo ilo linalobaki utajazia kesho ukipigwa Upate Mimba uzae Kocha wa Kolo akasaidie Timu [emoji1787]
Subiri shoo maana ww nguvu za kula ushaishiwa...Kula kwanza ushibe halafu na wewe uliwe vizuri.
Idadi ya mechi umeionaView attachment 2808173
Mwenzio anaongoza ligi wew unaongoza kwa kuimba taarabu na kupigwa 5g
AahaaaaaMechi halina mvuto utopolo wanabutuabutua tuView attachment 2808172
Nijumlishie kabisa na zile 5 kwa O mlizopigwa ili yawe 12 kabisaChukua 5 za juzi weka 1 ya leo ilo linalobaki utajazia kesho ukipigwa Upate Mimba uzae Kocha wa Kolo akasaidie Timu [emoji1787]
Sawa mbona wewe umeshindwa kuchukua point kwa yanga sc shida ilikuwa nini embu fafanua vizuriHoja hapa ni ubora wa timu mkuu, point 3 hata Ihefu wametoka kuzichukua juzi tu hapo wala siyo suala, tatizo ni ubora tu
Yanga imecheza fainali ya CAF juzi tu, kuna Mwafrica asiyejuwa uwezo wa Yanga?Ni kweli mkuu hata Real Madrid wenye makombe 14 ya UCL, walipigwa 4-0 na Manchester City ambao walikuwa hawana kombe hata moja la UCL, ila huwezi kusikia watu wanasema Real Madrid ni timu mbovu kisa hilo
Lakini bongo kuna watu wanakuambia eti Simba ni timu mbovu kisa imepigwa 5-1 mara moja tu na Yanga, tena wakijua kabisa kwamba golini alikaa kipa ambaye ametoka kwenye majeraha, na hajadaka kwa muda mrefu sana
Anyway acha tusubiri tarehe 1/12, ndugu zetu watakapokutana na Al Ahly ndipo wataujua uwezo halisi wa timu yao, hawa ndugu zetu kwao hiyo sentensi ya "mpira hautabiriki" huwa hawaielewi
Hata zikiwa sawa wew nafasi yako ni ndogo sana kuwa wa kwanzaIdadi ya mechi umeiona
Bibi mbele, bwana nyumaHata zikiwa sawa wew nafasi yako ni ndogo sana kuwa wa kwanza
Labda waafrica wa bagamoyo..Yanga imecheza fainali ya CAF juzi tu, kuna Mwafrica asiyejuwa uwezo wa Yanga?