FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Mechi halina mvuto utopolo wanabutuabutua tu
JamiiForums598407804.jpg
 
Ni kweli mkuu hata Real Madrid wenye makombe 14 ya UCL, walipigwa 4-0 na Manchester City ambao walikuwa hawana kombe hata moja la UCL, ila huwezi kusikia watu wanasema Real Madrid ni timu mbovu kisa hilo

Lakini bongo kuna watu wanakuambia eti Simba ni timu mbovu kisa imepigwa 5-1 mara moja tu na Yanga, tena wakijua kabisa kwamba golini alikaa kipa ambaye ametoka kwenye majeraha, na hajadaka kwa muda mrefu sana

Anyway acha tusubiri tarehe 1/12, ndugu zetu watakapokutana na Al Ahly ndipo wataujua uwezo halisi wa timu yao, hawa ndugu zetu kwao hiyo sentensi ya "mpira hautabiriki" huwa hawaielewi
Yanga imecheza fainali ya CAF juzi tu, kuna Mwafrica asiyejuwa uwezo wa Yanga?
 
Back
Top Bottom