FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Duuh yanga kwa malalamiko hamjambo, hilo halijawahi kuwa sababu hata siku moja msitafute visingizio visivyo na kichwa wala miguu, hata Simba na Al Ahly mechi zao zilikaribiana na hakuna aliyelalamika sembuse ninyi kuenda hapo Tanga tu
Simba na Al Ahly si walikuwa wanacheza wenyewe kwa wenyewe hivyo hata kama wakicheza leo halafu kesho wakarudiana ni sawa kwasababu hapo wote wanakuwa ni waathirika wa ufinyu wa muda. Vitu vingine ni akili tu na uelewa tu wa mambo yanavyoenda. Unaweza niambia kwanini mechi ya Simba dhidi ya Azam imehairishwa?
 
Ikikuuma chomoa [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…