FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Kocha naye hakukosea kuwaita lile jina, pia wenye akili hapo yanga wanajulikana
Roho imekuuma tu wew nenda kajipoze maana maumivu ya 5 yamekuingia kichwani
20231108_211222.jpg
ndo maana
Screenshot_20231105-233201.jpg
 
Duuh yanga kwa malalamiko hamjambo, hilo halijawahi kuwa sababu hata siku moja msitafute visingizio visivyo na kichwa wala miguu, hata Simba na Al Ahly mechi zao zilikaribiana na hakuna aliyelalamika sembuse ninyi kuenda hapo Tanga tu
Simba na Al Ahly si walikuwa wanacheza wenyewe kwa wenyewe hivyo hata kama wakicheza leo halafu kesho wakarudiana ni sawa kwasababu hapo wote wanakuwa ni waathirika wa ufinyu wa muda. Vitu vingine ni akili tu na uelewa tu wa mambo yanavyoenda. Unaweza niambia kwanini mechi ya Simba dhidi ya Azam imehairishwa?
 
Hayo maviganja na maviwiko mliyokuwa mnayapunga hapo uwanjani yamepoteaje enyi Uto vyura wa jangwani [emoji16]

Mnajijua kabisa wenye akili ni 2 tu huko, wengine wote ni wehu.

Kila saa kunyoosha limkono kisa tano, na leo mlijiandaa na tano zingine wehu nyie.
Ukiwaza kuwa hao ni marehemu basi we ni miongoni mwa wale wehu wa jangwani (ukitoa mstaafu na dingi akee Haji [emoji23][emoji23]
Ikikuuma chomoa [emoji38]
JamiiForums-31645776.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom