Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #461
Acha hoja za matusi sawa dogo au unataka nikuwashie motoBibi mbele, bwana nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hoja za matusi sawa dogo au unataka nikuwashie motoBibi mbele, bwana nyuma
Matusi yako wapi 🐸Acha hoja za matusi sawa dogo au unataka nikuwashie moto
Kwa akili yako unazani ukishinda mechi zako utakuwa wa kwanza ?? Rage akukosea kuwaita mbumbumbu 😂Matusi yako wapi 🐸
Kocha naye hakukosea kuwaita lile jina, pia wenye akili hapo yanga wanajulikanaKwa akili yako unazani ukishinda mechi zako utakuwa wa kwanza ?? Rage akukosea kuwaita mbumbumbu 😂
Mkuu mbona shida inajulikana ila mmeamua kujitoa fahamu tuSawa mbona wewe umeshindwa kuchukua point kwa yanga sc shida ilikuwa nini embu fafanua vizuri View attachment 2808175
Roho imekuuma tu wew nenda kajipoze maana maumivu ya 5 yamekuingia kichwaniKocha naye hakukosea kuwaita lile jina, pia wenye akili hapo yanga wanajulikana
Huku mmekuja CAFCL hivyo wekeni Akiba ya maneno tuYanga imecheza fainali ya CAF juzi tu, kuna Mwafrica asiyejuwa uwezo wa Yanga?
Kwa hiyo tuliwapa bahasha?Mkuu mbona shida inajulikana ila mmeamua kujitoa fahamu tu
Dose ya mtu mzima hapewi mtotoBwahahaa kama sio wale vyura waliokua wanaruka ruka juzi...
Huku mmekuja CAFCL hivyo wekeni Akiba ya maneno tu
Simba na Al Ahly si walikuwa wanacheza wenyewe kwa wenyewe hivyo hata kama wakicheza leo halafu kesho wakarudiana ni sawa kwasababu hapo wote wanakuwa ni waathirika wa ufinyu wa muda. Vitu vingine ni akili tu na uelewa tu wa mambo yanavyoenda. Unaweza niambia kwanini mechi ya Simba dhidi ya Azam imehairishwa?Duuh yanga kwa malalamiko hamjambo, hilo halijawahi kuwa sababu hata siku moja msitafute visingizio visivyo na kichwa wala miguu, hata Simba na Al Ahly mechi zao zilikaribiana na hakuna aliyelalamika sembuse ninyi kuenda hapo Tanga tu
2012 tumewagonga 5 kavu hivyo hamna jipyaRoho imekuuma tu wew nenda kajipoze maana maumivu ya 5 yamekuingia kichwaniView attachment 2808178ndo maana View attachment 2808179
Hii roho ilikuuma sana2012 tumewagonga 5 kavu hivyo hamna jipya![]()
Wahi çopy yako
Hawataki kukubali mkuu kwamba kote walikopita sisi tulishapita kabla yao, wamebaki kujisifia mwaka wa kuzaliwa tu, ila mafanikio ni hadi mdogo mtu afungue njia ndio kaka afuate2012 tumewagonga 5 kavu hivyo hamna jipya
Ihefu ni bora kuliko makoloHoja hapa ni ubora wa timu mkuu, point 3 hata Ihefu wametoka kuzichukua juzi tu hapo wala siyo suala, tatizo ni ubora tu
Akikujibu nambie 🤣Ihefu ni bora kuliko makolo
Mayele mtu mbadi sanaHalafu kama haitoshi ebu mtag bwana muwasibu ..
Mwambie kuwa Mayele na leo katetema
AahaaaaView attachment 2808160
Ikikuuma chomoa [emoji38]Hayo maviganja na maviwiko mliyokuwa mnayapunga hapo uwanjani yamepoteaje enyi Uto vyura wa jangwani [emoji16]
Mnajijua kabisa wenye akili ni 2 tu huko, wengine wote ni wehu.
Kila saa kunyoosha limkono kisa tano, na leo mlijiandaa na tano zingine wehu nyie.
Ukiwaza kuwa hao ni marehemu basi we ni miongoni mwa wale wehu wa jangwani (ukitoa mstaafu na dingi akee Haji [emoji23][emoji23]
Mwambie huyo kolo 😂😁😁😁