fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
naitakia mafanikio yanga washinde leoNaam leo ndo leo ndani ya Mkwakwani Tanga baada ya wananchi kutoka kumpiga mtani wao goli 5 leo wanakutana na Coastal union je, watoto wa Tanga watakubali kupigwa 5?
View attachment 2807376
Hapana "dont change the winning team" weka full mkoko pata matokeo pumzisha watuHizi ndio mechi za kufanyia rotation wachezaji wetu ngoma ikiwa ngumu tunaingiza full mkoko.
Ndugu zetu makolo hawanaga rotation kabisa 11st yao ni ile ile
Duh! Huko mmefikishwa na nani sasa!!Mchezo mwengine huu wakufanya tuendelee kubaki kileleni...
Kwani hizi thread zina nini siku hizi jamani hadi watu mnawahi kuzipost saa sita ya usiku?
Hizi ndio mechi za kuwachezesha Metacha, Kibwana, Fredy, Mauya, Sureboy, Konkoni, Moloko,Skudu hata Musonda maana hana msaada wowote first eleven.
Wazee wa kazi wapumzike, huwezi kumuanzisha Profesa Pacome Vs Coastal ni uonevu na unyanyasaji.
Mangungu unamuonea tu, hana mamlaka makubwa kiutendaji, wanachama wa Simba mnapaswa kumtetea maana ndio mwakilishi wenu, ila mnajitoa akili kwa kuwa upande wa MO badala ya kuwa upande wenu wa UANACHAMA.All the best wananchi.
Yanga ina viongozi Bora na wenye maono engineer
Simba ina viongozi vialaza na wapumbavu akina Mangungu.
Usijifanye huelewi kiswahiliDuh! Huko mmefikishwa na nani sasa!!
Pole Sana usikatie tamaa Simba bado ina nafasi ya kufanya vizuri...All the best wananchi.
Yanga ina viongozi Bora na wenye maono engineer
Simba ina viongozi vialaza na wapumbavu akina Mangungu.
Huu mchezo hauna tofauti na ule dhidi ya Ihefu. Hivyo kocha anatakiwa aingie kwenye mchezo kwa tahadhari kubwa.Hizi ndio mechi za kufanyia rotation wachezaji wetu ngoma ikiwa ngumu tunaingiza full mkoko.
Ndugu zetu makolo hawanaga rotation kabisa 11st yao ni ile ile