Waliwakamia SimbaDuuh hii ndio Yanga iliyoifunga Simba goli 5, mbona kwa Coastal Union wameishia goli 1 tu, hata hivyo Coastal Union ni timu bora sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliwakamia SimbaDuuh hii ndio Yanga iliyoifunga Simba goli 5, mbona kwa Coastal Union wameishia goli 1 tu, hata hivyo Coastal Union ni timu bora sana
hata baca ishawai funga timu goli sita na juzi ikapigwa moja kavu mpira hauelewekiDuuh hii ndio Yanga iliyoifunga Simba goli 5, mbona kwa Coastal Union wameishia goli 1 tu, hata hivyo Coastal Union ni timu bora sana
Simba leo tunalala Kisemvuleeeeeee. Dadeeki. Kama C.U imehimili mapigo ikafungwa tu moja,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata IHEFU wako bora kuliko utoINAMAAN COSTAL UNION WAPO VIZUR NI BORA KULIKO MAKOLO FC.
Wapi IHEFUSimba leo tunalala Kisemvuleeeeeee. Dadeeki. Kama C.U imehimili mapigo ikafungwa tu moja,
Hitimisho ni kwamba mara mia C.U kuliko FIMBA. Teh teh teh teh
Kwa tabu sana.Amefunga
Ko Mpira haueleweki nan ashinde Maan tuseme Ihefu n bora sana waliifunga Uto kabsa Makolo wakashindwa ifungaHata IHEFU wako bora kuliko uto
Yaniii wanaleta visingizio lukuki bwahahahahahahahahah!!Simba leo tunalala Kisemvuleeeeeee. Dadeeki. Kama C.U imehimili mapigo ikafungwa tu moja,
Hitimisho ni kwamba mara mia C.U kuliko FIMBA. Teh teh teh teh
dak zimeshaisha bado filimb tuKwa tabu sana.
anyway, Dakika ya ngapi?
Tabulelee laaaahYanga ya kawaida mnooo,bila rushwa na uchawi
🤣🤣🤣🤣 wamebaki na goli moja?dak zimeshaisha bado filimb tu
Siku hizi siyo bahasha tena!! Tumehamia kwenye ushirikana!!!Sawa tunakubali sisi Simba mlituroga hadi hawa madogo wa Coastal mnawaroga, kweli Uto mmezidi ushirikina
Arudishwe sasa. Kocha bila wachezaji,matokeo yako wapi?!KOCHA HANA KOSA SHIDA YETU KUMTEGEMEA KIBU HATUNA WACHEZAJI
Subiri. Watasema wanatahiliwa bila ganziYaniii wanaleta visingizio lukuki bwahahahahahahahahah!!
Watasema yoteeeee nabadoo!!💛💪
🤣😂Huyo ni bodaboda mstaafuKam kauwaaa kam dauwaaaa mida yetruuuu mida yetruuuuuu💪💛!