Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Halafu kama haitoshi ebu mtag bwana muwasibu ..Hahahahaaa. Lol.
Mwambie kuwa Mayele na leo katetema
Aahaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kama haitoshi ebu mtag bwana muwasibu ..Hahahahaaa. Lol.
Tabulelee laaa[emoji23]Nasemaaaje nasemaaaje kimewauma. [emoji23][emoji23]
Marehemu Simba SC fans walikuwa na midomo sana [emoji28]Wayapate wapi hao vyura wa jangwani [emoji16]
Marehemu Simba SC fans walikuwa na midomo sana [emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Dawa iliwaingia kisawasawa!Marehemu Simba SC fans walikuwa na midomo sana [emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ila wameondoka na point 3 mwana lunyasi mwenzanguBwahahaa kama sio wale vyura waliokua wanaruka ruka juzi...
Kabisa wamekufa kibuduDawa iliwaingia kisawasawa!
Hayo maviganja na maviwiko mliyokuwa mnayapunga hapo uwanjani yamepoteaje enyi Uto vyura wa jangwani 😁Mkuu ni mwehu tu ndo atataka kila siku timu ishinde 5. 😂😂
Ukiwaza kuwa hao ni marehemu basi we ni miongoni mwa wale wehu wa jangwani (ukitoa mstaafu na dingi akee Haji 😂😂Marehemu Simba SC fans walikuwa na midomo sana [emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hukuwasikia walivyokuwa wakiimba tano ×2?Ila wameondoka na point 3 mwana lunyasi mwenzangu
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Kam kauwaaa kam dauwaaaa 💛💪💪!Ila wameondoka na point 3 mwana lunyasi mwenzangu
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu hata Real Madrid wenye makombe 14 ya UCL, walipigwa 4-0 na Manchester City ambao walikuwa hawana kombe hata moja la UCL, ila huwezi kusikia watu wanasema Real Madrid ni timu mbovu kisa hilohata baca ishawai funga timu goli sita na juzi ikapigwa moja kavu mpira haueleweki
Jamaa angekuwa mfuasi wa rikiboy hata kama hana nauli angekopaYamekua hayo mtani....karibu tule ujipongeze kwa goli moja...
Duuh yanga kwa malalamiko hamjambo, hilo halijawahi kuwa sababu hata siku moja msitafute visingizio visivyo na kichwa wala miguu, hata Simba na Al Ahly mechi zao zilikaribiana na hakuna aliyelalamika sembuse ninyi kuenda hapo Tanga tuShirikisha ubongo na akili kwanza. Timu imetoka kucheza mechi ngumu dhidi ya Simba siku ya jumapili. Wamepumzika siku moja tu ambayo ni Jumatatu kisha jumanne wamesafiri kuelekea Tanga kisha mechi imecheza leo Jumatano. Hao ni binadamu sio maroboti, timu yako iliyopigwa tano imekaa tu Dar halafu mechi yake imepangwa Alhamisi. Lengo lenu la Yanga kupoteza mechi na hao TFF na bodi yenu ya ligi mpaka sasa mmefeli tafuteni mbinu nyingine
Kikubwa point 3 mengine mtajua nyie wana lunyasi wazee wa kupigwa 5Duuh yanga kwa malalamiko hamjambo, hilo halijawahi kuwa sababu hata siku moja msitafute visingizio visivyo na kichwa wala miguu, hata Simba na Al Ahly mechi zao zilikaribiana na hakuna aliyelalamika sembuse ninyi kuenda hapo Tanga tu
Kula kwanza ushibe halafu na wewe uliwe vizuri.Hebu nile mie nisijichoshe na huu utopolo...