FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

Yani hili jambo linanikera sana kwanza tuko nyuma sana ya goal difference lakini bado tunacheza kama watoto wa shule na Fadlu anaangalia tu
 
Yani hili jambo linanikera sana kwanza tuko nyuma sana ya goal difference lakini bado tunacheza kama watoto wa shule na Fadlu anaangalia tu
Tumekoswa kufungwa bao hapa kwa ujinga huu huu.

Hakuna kitu kinachonikera kama hiki.

Viongozi sijui hawalioni hili tatizo, wanashindwa vipi ku fix hii kadhia ambayo kwa asilima kubwa kama tutakosa ubingwa basi hii kadhia itakuwa ni sehemu moja wapo iliyochangia.

Wanaudhi sana..
 
Dakika 20 za mwisho Simba huwa inacheza hovyo sana tena chini ya kiwango.

Ni rahisi kuifunga simba dakika 20 za mwisho kama timu Iko siriasi. Na ndiyo maana timu zunazosawazisha huwa ni zile zinazopambana mpaka Mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ