FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

Ila mpira ni kitu cha ajabu sana😳...mashabiki WA Simba mna moyo wa ajabu sana😎mnawezaje kua na matarajio makubwa hivo ya kumfunga yanga tarehe 8?🤔 Mnaposifia timu yenu hua mnazingatia nini kuizidi yanga kwenye ubora?...mmetangulia 2 basi yanawatoka ya asubuhi asubuhi mnajiona mshachukua point kwa yanga?🚮🚮🚮🚮Yani zimbwe aje amzuie ikangalombo, pacome, mzize upande ule? matako yenu jifarijini TU😎
 
Unawezaje kuwa na moyo wa kuandika mkeka wote huu. Huna kazi?
 
Maigizo tupu golikipa amekikisha mukwala anapata hat trick bila jasho.
 

Mie Sijui tukusaidiaje..?

Ila Kuna Watu Wabunifu Sana, nimemwona kuna Jamaa kaja na Mkoba Uwanjani Umeandikwa ' Mkoba Wa Malalamiko ya Wapinzani ' .

Labda Kwa Ushauri Katumbukize kule Hili Lalamiko Lako...!
Uwezi jua Unaweza kusaidika..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…