FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Wewe ndiye unatamani iwe hivyo, ila mpira haupo hivyo kama hesabu za matikiti. Tunajua Yanga ikipita utaumia, ila kundi kila mtu ananafasi na kwenye mpira lolote linawezekana.
 
Yanga safari ndio imeisha, hata wakishinda wiki ijayo dhidi CRB bado hawana uwezo wa kutoa draw na Al Ahly Cairo, beki Mwamnyeto Maguire, Cairo lazima wachomeshe tu.
 
Yanga safari ndio imeisha, hata wakishinda wiki ijayo dhidi CRB bado hawana uwezo wa kutoa draw na Al Ahly Cairo, beki Mwamnyeto Maguire, Cairo lazima wachomeshe tu.
Wewe ni Mungu? Au ni Shekh Yahaya? Mpira sio mchezo wa kutabirika kirahisi hivyo, kwani beki ni Mwamnyeto tu hakuna wengine? Ni swala la aporoach tu ta mchezo kama wataingia kwa kucheza kwa nidhamu hiyo sare wanapata vizuri tu.
 
Yanga safari ndio imeisha, hata wakishinda wiki ijayo dhidi CRB bado hawana uwezo wa kutoa draw na Al Ahly Cairo, beki Mwamnyeto Maguire, Cairo lazima wachomeshe tu.
Kipindi Yanga anafikishana matuta na Al Ahly mjini Cairo ulikua bado upo kwenu Kakonko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…