FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Kocha wa CR Belouizdad kaanza na beki wa 4🤣🤣🤣😁😁
Unataka kumaanisha nini?

Kwamba wanajilinda zaidi kwa kuwaogopa nyie?

Umeangalia formation ya Gamond aliyoingia nayo kwenye mechi ya leo?

Cr Belouzidad wanaingia na mfumo wa 4-2-3-1 wakati nyie mna 4-4-2

Kwa mfumo huo kati ya Cr Belouzidad na Yanga nani ambaye ana defense?
 
Unafata mifumo ?
 
Hakuna Mechi Rahisi Kama Hii Hawa Watu Ni Wagumu Ila Pacome, Ki & Max Watalainiaha Sana Hii Game.

Musonda Has More Change To 2+ Goal.

Mark My Words.
 
Anachomesha naona kocha kashtuka kamweka benchi
 


Naamini Metacha Mnata atafanya kazi nzuri ya kulinda lango ingawa ningependa Djigui Diarra ndiye awepo pale golini kuwakumbusha aliavyowakatalia penalty, jambo ambalo lina pyschological effect kwa washambulia wa Belouizdada
 
Unafata mifumo ?
Mpira ni kanuni na mfumo ndio kanuni yenyewe

Unawacheka Cr Belouzidad kwa kuanza na beki wa 4 wakato hata nyie mmeanza na beki wa nne

Na tena kwa uoga zaidi eneo la defence midfielders mmeweka watu wanne
 
Mbele wameweka mshambuliaji mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…