FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Mpigweee nawaombea kichapo kikali mpk akili za mabango zikae sawa...
Jinga kabisa wewe..
Leo ndio utashuhudia nini maana ya mpira mkae kitako mjifunze,sajili makini kocha makini na uongozi makini.. yanga inaleta mabadiriko ktk nyanja ya mpira Tanzania mpira sio ulozi au Imani yakishirikina bali mbinu akili na wachezaji wenye viwango.. yanga inawafundisha mpira ni sayansi..

Leo itakushika aibu ya kwanini huishabikii yanga,donge litakutoka muda utasema nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…