FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Kuna jamaa aliniambia Bakari Nondo ni mrefu ila haruki mipira ya juu. Tuombe leo apambane yeye na timu nzima.
 

Ngoja nikawadokeze wanangu wa Belouizdad kuhusu hili kupitia ukurasa wao wa Instagram
 
Hao Al Shabaab wa Africa kama anavyowaita Rais wao msomali wanacheza saa ngapi?
 
Za ndaaani kina Bacca na Mwamnyeto waliahidiwa lift na Morocco baada ya mechi ya Stars ili wawahi Algeria kwa mechi ya leo. Ndiyo maana hawakuwa wanakaza sana kama kawaida yao na hata wakati mwingine walikuwa wanataka kuchomesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ