FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Yanga tunahitaji point 10 tu, na tutazipata bila wasi was wowote. kati ya point 8 au 9 hapo Lupaso, na point nyingine mbili huko Ughaibuni. Safari bado mbichi sana. Uzuri tumeanzia ugenini jamba ambalo ni jema kwetu. Siku wakija kwa Mkapa ni 5G bila huruma.
 
Bila shaka haya maneno umeyatoa kwa kichaa mmoja ambaye alikua amelewa.
 
5G imo ndani ya Yanga
 
Hiyi ndiyo ukisikia mpemba anasema "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala".

Mmenichekesha sana vyura, poleni, ndiyo ukubwa huo.
Kuna uzi umedandia kuwa hakuna kabila la wapemba,pemba ni kisiwa chenye makabila tofauti,stupid
 
Mpira unachezwa mdomoni
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira unachezwa mdomoni
Unachezwa uwanjani; umeona jinsi ambavyo Yanga ilivyomiliki mpira ila ilifungwa kutokana na weakness katika positions muhimu kadhaa ambazo mastaa wa Yanga walikuwa wamechoka kutokana na mashindano ya FIFA na wengine hawakuweza kucheza kabisa kutoka na hiyo ratiba ngumu ya FIFA. Mchezo ujao wataikuta Yanga imekamilika na tutarudi hapa kuhabarishana matokeo.
 
Wamewanyoosha ,hayo sio mashindano ya kuleta urembo na ujinga ujinga.

Mwarabu kafungulia bado Al Ahly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…