FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Yanga tunahitaji point 10 tu, na tutazipata bila wasi was wowote. kati ya point 8 au 9 hapo Lupaso, na point nyingine mbili huko Ughaibuni. Safari bado mbichi sana. Uzuri tumeanzia ugenini jamba ambalo ni jema kwetu. Siku wakija kwa Mkapa ni 5G bila huruma.
 
Yangan tunahitaji point 10 tu, na tutazipata bil wasi was wowote. kati ya point 8 au 9 hapo Lupaso, na point nyingine mible huko Ughaibuni. Safari bado mbichi sana. Uzuri tumeaizna ugenini jamba ambalo ni jema kwetu. Siku waikja kwa Mkapa ni 5G bila huruma.
Bila shaka haya maneno umeyatoa kwa kichaa mmoja ambaye alikua amelewa.
 
Bila shaka haya maneno umeyatoa kwa kichaa mmoja ambaye alikua amelewa.
Yanga tunahitaji point 10 tu, na tutazipata bila wasi was wowote. kati ya point 8 au 9 hapo Lupaso, na point nyingine mbili huko Ughaibuni. Safari bado mbichi sana. Uzuri tumeanzia ugenini jamba ambalo ni jema kwetu. Siku wakija kwa Mkapa ni 5G bila huruma.

5G imo ndani ya Yanga
 
Hiyi ndiyo ukisikia mpemba anasema "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala".

Mmenichekesha sana vyura, poleni, ndiyo ukubwa huo.
Kuna uzi umedandia kuwa hakuna kabila la wapemba,pemba ni kisiwa chenye makabila tofauti,stupid
 
Yanga tunahitaji point 10 tu, na tutazipata bila wasi was wowote. kati ya point 8 au 9 hapo Lupaso, na point nyingine mbili huko Ughaibuni. Safari bado mbichi sana. Uzuri tumeanzia ugenini jamba ambalo ni jema kwetu. Siku wakija kwa Mkapa ni 5G bila huruma.

5G imo ndani ya Yanga
Mpira unachezwa mdomoni
 
Siku kadhaa zilizopita nilianzisha uzi nikitabiri kwamba kwenye mechi ya Cr belouzdad Yanga watashinda goli mbili kwa sifuri na kwamba magoli yote ya Yanga yatafungwa na Mzize kipindi cha kwanza.

Nilikuwa napeleka ujumbe kwa benchi la ufundi la Yanga kwamba kwenye mechi ya leo kinyota lazima mzize aanze na lazima atangulie kukanyaga uwanja na half time awe wa kwanza kutoka nje ya uwanja.

Mpaka now:

1.Cr belouzdad wanaongoza kwa goli moja.

2. Mzize hayupo dimbani.

3. Mbaya zaidi golini kakaa metacha.

Utabiri wangu tayari umesha haribiwa. Na kama nilivyo toa ahadi hapo awali kwamba nitajitoa jf endapo utabiri wangu hautatimia kwa asilimia mia kama nilivyo tabiri.

Hata kama Yanga watashinda mechi hii.

Hata kama Mzize atafunga but still bado utabiri wangu hautakuwa umetimia kwa asilimia mia.

Goodbye wana Jf.

It was nice to meet you guys.

Nimekaa jf kwa miaka 11 tangu 2012.

Goodnight and all the best
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira unachezwa mdomoni
Unachezwa uwanjani; umeona jinsi ambavyo Yanga ilivyomiliki mpira ila ilifungwa kutokana na weakness katika positions muhimu kadhaa ambazo mastaa wa Yanga walikuwa wamechoka kutokana na mashindano ya FIFA na wengine hawakuweza kucheza kabisa kutoka na hiyo ratiba ngumu ya FIFA. Mchezo ujao wataikuta Yanga imekamilika na tutarudi hapa kuhabarishana matokeo.
 
Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC.
YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI

Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa kutamba baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 dhidi ya CRBelouizdad katika mchezo wa Kundi D kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF)

Magoli yamewekwa wavuni na Abdelraouf Benguit (10), Abderrahmane Meziane (45) na Lamin Jallow (90)

Mchezo ujao, Yanga itaikaribisha AlAhly ya Misri kwenye Uwanja wa Mkapa, Desemba 2, 2023
Wamewanyoosha ,hayo sio mashindano ya kuleta urembo na ujinga ujinga.

Mwarabu kafungulia bado Al Ahly
 
Back
Top Bottom