FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Mi naomba niseme mwaka fulani
Tulikua na hawa watu
Tulimaliza wa kwanza😁😁😁

Rekodi ya kukusumbua inanibeba


Haya tupumzike na zile kelele za 5πŸ˜‚
 
Katika mechi mbili za mwisho za CAFCL hatua ya makundi, Yanga amefungwa jumla ya magoli 9-0.

Yanga hawezi kuambulia point hata moja dhidi ya Al Ahly wala CR Belouizdad ndani na nje. Tulisema mzimu wa Mayele utawaandama mkabisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…