FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Mi naomba niseme mwaka fulani
Tulikua na hawa watu
Tulimaliza wa kwanza😁😁😁

Rekodi ya kukusumbua inanibeba


Haya tupumzike na zile kelele za 5😂
 
Katika mechi mbili za mwisho za CAFCL hatua ya makundi, Yanga amefungwa jumla ya magoli 9-0.

Yanga hawezi kuambulia point hata moja dhidi ya Al Ahly wala CR Belouizdad ndani na nje. Tulisema mzimu wa Mayele utawaandama mkabisha.
 
Mabango FC

Bango jipya mjini hili hapa
20231125_085353.jpg
 
Back
Top Bottom