FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Baada ya yanga kupigwa 3g na CRB jana, habari mpya ni kwamba Gamond yupo hospitali yaani kawa mental fresh. Kila mara anatamka buenos aires, bueno aires.
Sasa, Shida ni kwamba madaktari wanaomtibu hawaelewi anaposema bueno aires anataka hewa safi au anataka kurudi nyumbani kwake Bueno Aires, Argentina.

kama bao tatu tu mtu anakuwa mwehu, akipigwa mkono je?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…