zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Kichapo mtang'oa nyasi leoLeo kama neutral ground. Hakuna mashabiki. Hii itumike kama advantage .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichapo mtang'oa nyasi leoLeo kama neutral ground. Hakuna mashabiki. Hii itumike kama advantage .
Wakithubutu watarudi bila malinda?wasije jaribu mwarabu sio mama samia
huko wakijaribu tu watarudi bila rinda maana nimeskia taarifa muarabu anafanya mazoezi makali sana ya kuhakikisha anaingiza kwa namna yoyote wabane miguu au kuachia leo watachomekwa
Ground kuna sitin,dinn, kich, bdr ,stoo na public.Oya fundi hio room ngapi?
hakika maana waarbu wakiwa kwao hupenda kuwafanyia simba michezo hiyoWakithubutu watarudi bila malinda?
Kalpanahakika maana waarbu wakiwa kwao hupenda kuwafanyia simba michezo hiyo
Ebanaeee nimechua namba mkuuGround kuna sitin,dinn, kich, bdr ,stoo na public.
Juu kuna 4bdr
KaribuEbanaeee nimechua namba mkuu
Sio timu ya Taifa hiyo.Uzalendo mbele
Tulikubaliana kua hilo ni kombe la walio shindwa, usijizime data.Inaonekana CCF ni bora kuliko CL.
Miaka mitatu mfululizo bingwa wa CCF anamfunga bingwa wa CL na kuchukua Super Cup
Jengo lina 13*15Nimeielewa sana.
Ukubwa wa eneo uweje?
Na iwe hivyoMimi ni Simba lia lia ila leo tunapigwa nyingi sana...