FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

Kama nyie timu Bora chezeni CAFCL sio UMITASHUMITA mnatia Taifa aibu
Wewe ni debe tupu...Tushacheza sana huko bwa shee kwa sasa chezeni nyie mliokaa miaka 19 bila kunusa pua zenu wala kujua group stage inakuwaje...mara 4 mfululizo fanyeni na nyie tuone...
Utopoloa hilooooo li mubaba lenye wivu hilooooo....li chura kiziwi hilooooo...
Hilooooooo
 
😂🤣😅
Kwa kuwa wewe ni mama tamba hayo ni mashindano yenu mrembo wangu
 
Ki
Kichaka cha waarabu kimevunjwa rasmiii....yani utajua mwenyewe..
Sio waarabu tuu waarabu waliochukua kombe mara 3...
Pyeee pyeee pyeeeeee
Kumbe Leo ndio mmevunja, mmevunja rekodi Leo🤣🤣, wenzenu walishaga toka uko, walishashinda dhidi ya timu imara sio hao waarabu wa mlingotini!
 
Ndugu mimi ni shabiki wa mpira nje ya ushabiki wa Yanga. Hivyo mechi kama hizi huwa napenda kucheki burudani huku nikiwachachafya huku JF maana mlikua mmeshapotea kabla ya goli. Chochote kizuri nitasema na hata kibaya nitasema fuatilia.
Tangu lini umekuwa msema kweli kuhusu simba ndugu?
 
Back
Top Bottom