Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni debe tupu...Tushacheza sana huko bwa shee kwa sasa chezeni nyie mliokaa miaka 19 bila kunusa pua zenu wala kujua group stage inakuwaje...mara 4 mfululizo fanyeni na nyie tuone...Kama nyie timu Bora chezeni CAFCL sio UMITASHUMITA mnatia Taifa aibu
😂🤣😅Wewe ni debe tupu...Tushacheza sana huko bwa shee kwa sasa chezeni nyie mliokaa miaka 19 bila kunusa pua zenu wala kujua group stage inakuwaje...mara 4 mfululizo fanyeni na nyie tuone...
Utopoloa hilooooo li mubaba lenye wivu hilooooo....li chura kiziwi hilooooo...
Hilooooooo
Kumbe Leo ndio mmevunja, mmevunja rekodi Leo🤣🤣, wenzenu walishaga toka uko, walishashinda dhidi ya timu imara sio hao waarabu wa mlingotini!Kichaka cha waarabu kimevunjwa rasmiii....yani utajua mwenyewe..
Sio waarabu tuu waarabu waliochukua kombe mara 3...
Pyeee pyeee pyeeeeee
Wewe endelea KUTESEKA, tena UTESEKE SANA popote ulipo. Simba inaingia robo fainali. Simba hatuna mwiko. Mwiko huwa unapatika mtaa wa Jangwani kwa Utopolo.Jicho lina kuuma!!!??? Toa mwiko huo.
Kule mnakosema mlifika fainaliCAFCL ndo mashindano ya heshima
Shirikisho ni mashindano ya akina mama
Komenti za Utpolo utazijua tu. Mijitu imejaa wivu wa kipuuzi tu. Hovyo kabisa.yaan kuna watu wanashangilia mechi ambayo hata mzuka hakuna, watu wamecheza kama wafu
Kwa hiyo mwaka ule Yanga aliposhiriki na kufika fainali nao walikuwa wanawake. Mbona mnakuwa na akili za kitoto hivi?CAFCL ndo mashindano ya heshima
Shirikisho ni mashindano ya akina mama
Mwaka upiCS Sfaxien FC 4 Simba 0.
Wanafurahia kuvaa medali za wakina mamaKwa hiyo mwaka ule Yanga aliposhiriki na kufika fainali nao walikuwa wanawake. Mbona mnakuwa akili za kitoto hivi?
Tangu lini umekuwa msema kweli kuhusu simba ndugu?Ndugu mimi ni shabiki wa mpira nje ya ushabiki wa Yanga. Hivyo mechi kama hizi huwa napenda kucheki burudani huku nikiwachachafya huku JF maana mlikua mmeshapotea kabla ya goli. Chochote kizuri nitasema na hata kibaya nitasema fuatilia.
Kati ya mshindi na loser nani anaumia?
Medali za kombe la kina mama, si ndio kama mnavyoliita hapa?Subirini kwanza mpaka mmfike hukuView attachment 3193491
Mapinduzi cupTukifika final itakuwa mara ya pili
Yaani points kazipata kwa mtoa UTAMU mwenzieSibishani na shabiki ambaye timu yake ina pointi 4
Tfuta points kwanza ili ufuzu vigezo vya kubishana na mimi