FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga | Ligi kuu NBC | Liti

FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga | Ligi kuu NBC | Liti

Ndo kashachukua nafasi yake.
Wananchi on top
Mayele on top
Diarra anafuata
 
Attachments

  • MayeleBE_.jpeg
    MayeleBE_.jpeg
    62.6 KB · Views: 1
Mwaka huu lazima Simba mpate miscarriage kwa wivu na uzandiki mlionao kwa maendeleo ya Wengine. Mnadhani nyie ndio wenye hati miliki na mpira Nchii hii. Mxuuuuuuuuuuuuu...
Ila mashabiki wa Yanga mnamatatizo kichwani
 
Mwaka huu lazima Simba mpate miscarriage kwa wivu na uzandiki mlionao kwa maendeleo ya Wengine. Mnadhani nyie ndio wenye hati miliki na mpira Nchii hii. Mxuuuuuuuuuuuuu...
Utawaonea wivu wacheza muvi?
Simba anacheza soka,achana na hizo mechi za maigizo
 
Uzuri Yanga tumekamilika kila idara, tuna warembo wazuri kama wewe, hatuna stress ni raha tupu.

Huyu Kalpana kadandia mtumbwi wa vibwengo, Shadeeya njooni mumuokowe huyu mrembo mwenzenu aje kwenye furaha Yanga.
Sidanganyikiiii ng'ooooo 😆 😆 😆 😆
Kwani ngapi ngape huko
 
Shida mashabiki wa Yanga mnapanick mapema na kuattack watu na matusi... tatizo liko hapooo
 
Yanga furaha yenu huwa haidumu kwa sbb Simba inawaumiza sana. Yani mnapenda kujikompea na Simba sasa kama nyie ni unbeaten mbona kama mna furaha ya kushtuka shtuka kama hamjiamiani hiviii
 
Back
Top Bottom