Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Yanga kacheza mechi chache ila anaongoza ligi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujazidi yenu walah!!Ila mashabiki wa Yanga mnamatatizo kichwani
Mbili bila sweet heart, unaangalia wapi world cup leo nikupe offer ya dompo.Sidanganyikiiii ng'ooooo 😆 😆 😆 😆
Kwani ngapi ngape huko
Nakukumbusha tena, kwenye hayo maigizo na wewe umo. Umecheza parts 3 au hazikuwa mechi? Ulishinda?Utawaonea wivu wacheza muvi?
Simba anacheza soka,achana na hizo mechi za maigizo
🤣🤣🤣🤣🤣Huogopi kuuliza matokeo! Yanga inaogopesha aisee! The unbeaten again!!!
Makolo mShukuru viporo vya Yanga maana vinawafanya muongoze ligi kwa masaa kadhaaHivyo viporo si wavimalizie tuu au ndo janja janja hizi za kuforce ubingwa
Tumefanana mawazo ki ukweli nakasirika sana mpira kuwahi kuisha ikicheza hii timu ya nchi,ni raha zaidi ya k.Yanga iwe inacheza dakika 120 hizi 90 tunapujwa burudani
Sanaaaa mm naweza nikabaki mwenyewe natetea kuwa nyie sio unbeaten ahhahaha😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣
Ana ujasiri sana huyu mtani wetu.
Mnabebwa hahahahaahUnaumwa kudadeki zako 😁
Sasa mtani mbona hapa wewe ndio unaumia.Yanga furaha yenu huwa haidumu kwa sbb Simba inawaumiza sana. Yani mnapenda kujikompea na Simba sasa kama nyie ni unbeaten mbona kama mna furaha ya kushtuka shtuka kama hamjiamiani hiviii
Hapo anaparuka. Hataki kupaona.Uzuri nyie pia mnashiriki kwenye hio muvi
Mm siumii naujua mpira wa Tz ni kupokezana tuu kwa muda vijiti. Ila lazima tuu tukerane kidogo hahhahSasa mtani mbona hapa wewe ndio unaumia.
Huku nafsi inakusuta🤣🤣🤣Sanaaaa mm naweza nikabaki mwenyewe natetea kuwa nyie sio unbeaten ahhahaha😆😆😆😆
Siwezi kumeza najaribu inanikaba japo ni ujiuji 😆😆Huku nafsi inakusuta🤣🤣🤣
Mtani sie ndio unbeaten mpaka sasa. Ni chungu ila meza hivyo hivyo.
Yani hilo halina shida, Evelyn Salt njoo tuyajenge, tufurahie Yanga yetu na World cup.Nakuona ulivyo na rahaaaa yani nitumie hela mpesa nikanunue dompo lita tano 😆 😆
Tuji-compare na Simba? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa KIPI?Yanga furaha yenu huwa haidumu kwa sbb Simba inawaumiza sana. Yani mnapenda kujikompea na Simba sasa kama nyie ni unbeaten mbona kama mna furaha ya kushtuka shtuka kama hamjiamiani hiviii
World cup ndo mpango mzima... achana na hizi patu patu za kina MayeleYani hilo halina shida, Evelyn Salt njoo tuyajenge, tufurahie Yanga yetu na World cup.