FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga | Ligi kuu NBC | Liti

Yanga furaha yenu huwa haidumu kwa sbb Simba inawaumiza sana. Yani mnapenda kujikompea na Simba sasa kama nyie ni unbeaten mbona kama mna furaha ya kushtuka shtuka kama hamjiamiani hiviii
Sasa mtani mbona hapa wewe ndio unaumia.
 
Sanaaaa mm naweza nikabaki mwenyewe natetea kuwa nyie sio unbeaten ahhahaha😆😆😆😆
Huku nafsi inakusuta🤣🤣🤣
Mtani sie ndio unbeaten mpaka sasa. Ni chungu ila meza hivyo hivyo.
 
Yanga furaha yenu huwa haidumu kwa sbb Simba inawaumiza sana. Yani mnapenda kujikompea na Simba sasa kama nyie ni unbeaten mbona kama mna furaha ya kushtuka shtuka kama hamjiamiani hiviii
Tuji-compare na Simba? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa KIPI?
 
Back
Top Bottom