changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mchezo gani? Wewe yale mashuti ungedaka?Hii Dodoma jiji kuna muamala umethibitishwa si kwa mchezo huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezo gani? Wewe yale mashuti ungedaka?Hii Dodoma jiji kuna muamala umethibitishwa si kwa mchezo huu
Kapewa bahasha ya kaki huyoKipa wa Dodoma ahamini nini kilitokea
Tulia wewe! Bunduki kama zile hata yule Manula wenu huwa anaziangalia tu.Hii Dodoma jiji kuna muamala umethibitishwa si kwa mchezo huu
Mnanunua game kwa bahasha halafu mkienda caf mnapigwa mbele nyuma, nje ndani.Shuti Kali Mpaka Mtu Anachachawa [emoji23][emoji23][emoji23]
Na wengine igeni. 😅😅Bahasha za kaki.
Tupo wewe tuna wachora tu.Mashabiki wa Dodoma hata mkikimbia hayo ndo matokeo jamani. 😅
Hakuna cha bahasha, kipa alikuwa na uwezo hata kupishana na mpira akaruka kiushahidi.ili aipatie goli yanga. Lakini ukiangalia intention yakr ilikuwa ni kuokoa. akaupanchi mpira. Wakati anaupanchi ukawa bado upo golini na una kasi. Akaupanchi tena kuutoa nje ndipo ukagonga mwamba ukaingia nyavuniBahasha za kaki.
Muwekeni Aishi Manula basi ili na yeye tumtungue.Bila muamala kipa hawezi kudaka vile na akafungwa goli lile la pili.
Hata ile game ya Ngao ya hisani tulinunua.Mnanunua game kwa bahasha halafu mkienda caf mnapigwa mbele nyuma, nje ndani.