FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

Mnanunua game kwa bahasha halafu mkienda caf mnapigwa mbele nyuma, nje ndani.
Unaumwa wewe sio bure, Mbona ninyi mlipigwa nje ndani hatukusema kitu?,Bora yetu tulijitahidi sana mara tulipambana Mwanzo Mwisho,tukafa kiume.
 
Kwani Waliuingilia Mpira?
Baada ya kipa kuokoa wakawa wamefika Kwake,kipa Kwa taharuki akaenda kuulazimisha autoe iwe Kona,nadhani kama wale wachezaji wawili wa yanga waliokuwa wameotea wasingefika Kwa kipa basi angeudaka kirahisi!Naona uwepo wao pale,umeathiri maamuzi ya kipa na hivyo kuingilia mchezo!
Ni maoni yangu,ngoja tusubiri wataalamu!
 
Sawa Ngoja Tusubiri
 
Ila Magoli Ya Leo Nimekumbuka ile Bunduki Ya Balama Kwa Aishi Manula...Af Mpenja Anakwambia "Aishi Manula Usifate Iyo Unaweza Kuteguka Nyonga Maisha Yako Ni Muhimu Sana Brother" James Samwel Pia " Aishi Manula Imemkataa Imemkataa Imemkataa Kama Inakuja Inakata Kama Inakuja Inakata" [emoji1787][emoji1787]
 
Kuna viumbe wamepotea kima Dinosaur
emoji3073.png
😅😅
 
Baada ya kipa kuokoa wakawa wamefika Kwake,kipa Kwa taharuki akaenda kuulazimisha autoe iwe Kona,nadhani kama wale wachezaji wawili wa yanga waliokuwa wameotea wasingefika Kwa kipa basi angeudaka kirahisi!Naona uwepo wao pale,umeathiri maamuzi ya kipa na hivyo kuingilia mchezo!
Ni maoni yangu,ngoja tusubiri wataalamu!
Upo sahihi ingawa imekaa ugumu Sana kwa mwamuz kufikiria kwa haraka kama ulivyofikir
 
Back
Top Bottom