Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Achana na mbumbumbu wamevurugwaKwani mnabosema kipa wa dodoma kapewa kibunda .
Vipi Navas alokua kipa wa liverpool zile goli alizopigwa na madrid fainali nae alipewa kibunda??
Acheni kutafuta visababu makolo, tushamlamba mtu 2 kavu.
IMEISHAA IYOO.