Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Unaumwa wewe sio bure, Mbona ninyi mlipigwa nje ndani hatukusema kitu?,Bora yetu tulijitahidi sana mara tulipambana Mwanzo Mwisho,tukafa kiume.Mnanunua game kwa bahasha halafu mkienda caf mnapigwa mbele nyuma, nje ndani.
Nyie wazuri wa mpira nanyi tuseme yanga ndo anawanyima point au?Utopolo mnaharibu ligi. Kipa wa ligi kuu hawezi kudaka vile yaani unapeleka mpira nyavuni badala ya kudaka.
Zamu yenu inakuja. Safari hii nusu fainali hamchomoki.Utopolo mnaharibu ligi. Kipa wa ligi kuu hawezi kudaka vile yaani unapeleka mpira nyavuni badala ya kudaka.
Simba kafungwa lini nje ndani??Unaumwa wewe sio bure, Mbona ninyi mlipigwa nje ndani hatukusema kitu?,Bora yetu tulijitahidi sana mara tulipambana Mwanzo Mwisho,tukafa kiume.
Baada ya kipa kuokoa wakawa wamefika Kwake,kipa Kwa taharuki akaenda kuulazimisha autoe iwe Kona,nadhani kama wale wachezaji wawili wa yanga waliokuwa wameotea wasingefika Kwa kipa basi angeudaka kirahisi!Naona uwepo wao pale,umeathiri maamuzi ya kipa na hivyo kuingilia mchezo!Kwani Waliuingilia Mpira?
Soma comments hapo juu Kuna mtu nimemjibu,ila ni maoni yangu!Tusubiri wataalamu!Nani alikuwa offside pale na amehusika na mpira
Simba na yanga zote zilitolewa raundi ya kwanza klabu bingwaSimba kafungwa lini nje ndani??
Kuna viumbe wamepotea kima Dinosaur [emoji3073]Mashabiki wa Dodoma hata mkikimbia hayo ndo matokeo jamani. [emoji28]
Sawa Ngoja TusubiriBaada ya kipa kuokoa wakawa wamefika Kwake,kipa Kwa taharuki akaenda kuulazimisha autoe iwe Kona,nadhani kama wale wachezaji wawili wa yanga waliokuwa wameotea wasingefika Kwa kipa basi angeudaka kirahisi!Naona uwepo wao pale,umeathiri maamuzi ya kipa na hivyo kuingilia mchezo!
Ni maoni yangu,ngoja tusubiri wataalamu!
Naona mgonjwa anakunywa uji.
Mpira wa rebound hua una offside?Ila Ilikuwa offside kama umeangalia vizuri!Wale wachezaji wawili wa yanga waliokwenda kusubri rebound walikuwa wameotea!
Endelea kujifarijiZamu yenu inakuja. Safari hii nusu fainali hamchomoki.
😅😅Kuna viumbe wamepotea kima Dinosaur
Utopolo mnanunua mechiNyie wazuri wa mpira nanyi tuseme yanga ndo anawanyima point au?
Upo sahihi ingawa imekaa ugumu Sana kwa mwamuz kufikiria kwa haraka kama ulivyofikirBaada ya kipa kuokoa wakawa wamefika Kwake,kipa Kwa taharuki akaenda kuulazimisha autoe iwe Kona,nadhani kama wale wachezaji wawili wa yanga waliokuwa wameotea wasingefika Kwa kipa basi angeudaka kirahisi!Naona uwepo wao pale,umeathiri maamuzi ya kipa na hivyo kuingilia mchezo!
Ni maoni yangu,ngoja tusubiri wataalamu!
Upo sahihi mkuuIla Ilikuwa offside kama umeangalia vizuri!Wale wachezaji wawili wa yanga waliokwenda kusubri rebound walikuwa wameotea!