FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

Man city kafaaa uko yanga anapeta Liverpool bingwa fa kumbe Ndio maaan leo Nina furaha yaani

Kaz iendelee Liverpool is a champion
 
Makipa wa Dodoma jiji wamejifunga vs Mtibwa na vs Mbeya city.....na leo vs Yanga mbona huko hamkuleta malalamiko?
 
Kwani mnabosema kipa wa dodoma kapewa kibunda .

Vipi karius alokua kipa wa liverpool zile goli alizopigwa na madrid fainali nae alipewa kibunda??

Acheni kutafuta visababu makolo, tushamlamba mtu 2 kavu.

IMEISHAA IYOO.
 
Ni offside muamuzi wa pembeni alipaswa kumsaidia muamuzi wa kati waliingilia mchezo lakini goli limeshakubaliwa hakuna jinsi.
 
Ni offside muamuzi wa pembeni alipaswa kumsaidia muamuzi wa kati waliingilia mchezo lakini goli limeshakubaliwa hakuna jinsi.
Mimi niliona hivyo wakati goli linafungwa,Kuna watu wakabisha nikawaambia wasubiri wachambuzi!Naona wachambuzi wamesema kama Nilichosema!
 
Ulitegemea timu ya mavunde iifunge Yanga? Ndo maana kipa anajifunga. Hapo ni maigizo tu
 
Ni offside muamuzi wa pembeni alipaswa kumsaidia muamuzi wa kati waliingilia mchezo lakini goli limeshakubaliwa hakuna jinsi.
😁😁 Mkuu unaskiliza wachambuzi wa azam unapaste tu.
Fanya kuwapa credit bas wachambuzi wa azam.
 
Simba na yanga zote zilitolewa raundi ya kwanza klabu bingwa
Simba katolewa raundi ya pili klabu bingwa na alishinda ugenini akafungwa nyumbani, Tena alitoka kwa sheria ya away goal.

Yanga alitolewa raundi ya kwanza kombe la shirikisho tena kwa kufungwa nje ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…