Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni offside muamuzi wa pembeni alipaswa kumsaidia muamuzi wa kati waliingilia mchezo lakini goli limeshakubaliwa hakuna jinsi.Baada ya kipa kuokoa wakawa wamefika Kwake,kipa Kwa taharuki akaenda kuulazimisha autoe iwe Kona,nadhani kama wale wachezaji wawili wa yanga waliokuwa wameotea wasingefika Kwa kipa basi angeudaka kirahisi!Naona uwepo wao pale,umeathiri maamuzi ya kipa na hivyo kuingilia mchezo!
Ni maoni yangu,ngoja tusubiri wataalamu!
Wananichania mkeka mbwa hawa.Man city kafaaa uko yanga anapeta Liverpool bingwa fa kumbe Ndio maaan leo Nina furaha yaani
Kaz iendelee Liverpool is a champion
Wachambuzi wameungana na Mimi kuwa Ilikuwa offside!Sawa Ngoja Tusubiri
Mimi niliona hivyo wakati goli linafungwa,Kuna watu wakabisha nikawaambia wasubiri wachambuzi!Naona wachambuzi wamesema kama Nilichosema!Ni offside muamuzi wa pembeni alipaswa kumsaidia muamuzi wa kati waliingilia mchezo lakini goli limeshakubaliwa hakuna jinsi.
Yah Nimesikia Aina Noma Lakini Bado TunaongozaWachambuzi wameungana na Mimi kuwa Ilikuwa offside!
Anafungwa dodoma jiji lakini wanaoumia ni makolo
😁😁 Mkuu unaskiliza wachambuzi wa azam unapaste tu.Ni offside muamuzi wa pembeni alipaswa kumsaidia muamuzi wa kati waliingilia mchezo lakini goli limeshakubaliwa hakuna jinsi.
Mbona Mechi ya Mbeya city na Mtibwa makipa haohao wa Dodoma walijifunga hukuleta kelele kama hizi we mbumbumbuUtopolo mnaharibu ligi. Kipa wa ligi kuu hawezi kudaka vile yaani unapeleka mpira nyavuni badala ya kudaka.
Ni sawa mkuu,hapa tujadili tu mpira kama ulivyo!Yah Nimesikia Aina Noma Lakini Bado Tunaongoza
Huu ndiyo umbumbu aliousema Rage,Makipa haohao wa Dodoma walijifunga vs Mbeya city na Vs Mtibwa mbona hamkusema? Au kisa Yanga?Ulitegemea timu ya mavunde iifunge Yanga? Ndo maana kipa anajifunga. Hapo ni maigizo tu
Leo ndiyo unawakumbuka pisibi? Kakoje ulalePCCB wachunguze hii mechi,kipa kaacha goli wazi kabisa
Ndo hapo sasa. 🤣Anafungwa dodoma jiji lakini wanaoumia ni makolo
Kwani wachambuzi michongo tayari wameshachambua ? Sio kesho kazi ya kuchambua ?Wachambuzi wameungana na Mimi kuwa Ilikuwa offside!
Na nyie jumatano si mnacheza na tawi lenu.Ulitegemea timu ya mavunde iifunge Yanga? Ndo maana kipa anajifunga. Hapo ni maigizo tu
Simba katolewa raundi ya pili klabu bingwa na alishinda ugenini akafungwa nyumbani, Tena alitoka kwa sheria ya away goal.Simba na yanga zote zilitolewa raundi ya kwanza klabu bingwa