FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

Kwani mnabosema kipa wa dodoma kapewa kibunda .

Vipi Navas alokua kipa wa liverpool zile goli alizopigwa na madrid fainali nae alipewa kibunda??

Acheni kutafuta visababu makolo, tushamlamba mtu 2 kavu.

IMEISHAA IYOO.
Achana na mbumbumbu wamevurugwa
 
Muamala unafanya kazi,, Goal keeper alipewa ratio kubwa ya mgao
Utakuwa na PhD ya umbumbu wewe, mechi ya Mbeya City na Mtibwa makipa haohao walipewa sh ngapi? Maana walijifunga..... usijali subiri soon utatetema Mayele akifunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…