FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

Leo tunaua mtu 🇹🇿
 
Hii mechi nilikuwa nina hamu ya kuangalia ila nimeshindwa kuendelea kuangalia, hii mechi ukikomaa kuangalia hadi iishe lazima umeze panadol sio kwa quality hii.
Nilifikiri nateseka mwenyewe 🤣🤣🤣
 
Huyu kocha wa Taifa stars afungiwe jiwe shingoni atupwe baharini katikati. Anakula tu pesa zetu. Timu haijulikani hata inacheza nini, morale ya wachezaji ipo chini n.k
Mzee unataka achezaje na congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…