Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,963
- 5,757
Tena katoa kiungo akaongeza beki wa kati ili apaki basi vizuri, mwenzake Argentina kule anaongeza mshambuliaji ili alazimishe goli hashtuki tu.Huyu Tuchel nae kumbe kama makocha wa kiingereza tu,wakipata goli moja wanaacha kucheza wanarudi kupaki bus.
Mimi nashawangaa sana watu na chuki zao wanamponda kocha badala ya kumsifia Mess aliyeleta madhara.Unafikiri shida ni kocha wa England
Ni uwezo tu wa Messi mkuu nothing else
Wajinga sana wanasahau kuwaWacha tu watu waendelee kufananisha Messi na yule mwingine,maana sasa hivi wameanza kusingizia eti umri mkubwa eti ndio unamfanya azidiwe na Messi...
Huu ndio uchambuzi usio na excusesMimi nashawangaa sana watu na chuki zao wanamponda kocha badala ya kumsifia Mess aliyeleta madhara.
Anakichukuaje na wame-tie? Kingine mwenzake bado ana advantage
Jamaa alikuwa anapiga zile cross watu wanacheka..alipoingia Martine.L kazi ikaisha mana alijua ndio chafu pozi zake😀Huu ndio uchambuzi usio na excuse
Mbappe timu yake imeshatolewa kwenye michuano. Hata akifunga haitohesabika kwenye magoli yale kwamba awe mfungaji bora mkuu..Kila mtu ana mechi moja mbele; wote wana goli 8. Kila huyu ana advantage hapo. Messi akitupia final anachukua; Mbappe na yeye vile vile.
Mbappe timu yake imeshatolewa kwenye michuano. Hata akifunga haitohesabika kwenye magoli yale kwamba awe mfungaji bora mkuu..
Hapana mkuu, hao tayari ni ELIMINATED.. wako nje ya mbio ambazo wanapaswa kuzikimbia.Kivipi mkuu! Mechi ya mshindi wa tatu bado ni mechi halali kwenye mashindano. Ukifunga stage hiyo goli huesabika mkuu. 😊
Kivipi mkuu! Mechi ya mshindi wa tatu bado ni mechi halali kwenye mashindano. Ukifunga stage hiyo goli huesabika mkuu. 😊
Nani amefananisha, acha kuzua taharuki, watu wote wameungana kumkubali Messi.Wacha tu watu waendelee kufananisha Messi na yule mwingine,maana sasa hivi wameanza kusingizia eti umri mkubwa eti ndio unamfanya azidiwe na Messi...
Kabisa mkuu.Yeah ndio uwezo wa Messi unapokuja hapo lazima akuadhibu
Unajua mess ana goal ngapi + assist?Argentina vs Spain, itakuwa ni mechi kali wazee. Hatari tupu.
Binafsi nimefurahi Messi hajafunga; nataka Mbappe achukue kiatu. 😊
Vipi babu umelalaEngland anashinda 2—1
Mark this
sasa CR7 anahusika vipi hapa?Wajinga sana wanasahau kuwa
2022: Lionel Messi alihusika moja kwa moja kwenye mabao 10 wakati akiiongoza Argentina kutwaa Kombe la Dunia.
2026: Lionel Messi amehusika moja kwa moja kwenye mabao 12 akiwa anaiongoza Argentina kufika fainali ya Kombe la Dunia.
Akiwa karibu kutimiza miaka 40, bado Messi anakiwasha
Kumtetea Ronaldo ni kazi ngumu sana
Matoke vp huko England na Argentina maana tuli mark thisEngland anashinda 2—1
Mark this