Shikamoo kaka π€£Tucheni kwa hizi mechi za mtoano ni fundi sana wa kusoma mchezo, 2012 alibeba uefa na Chelsea ya patu patu.
Amka kaka usije ukajikojolea maana hiyo njozi unayoiota imeshakufa π€£England to the final.
π€©π€©England anapigwa, fainali ni Argentina vs Spain
π€©π€£π€£π€£Mashabiki wa Ufaransa tuna wakati mgumu sana. Na England nayo ikitolewa leo ndiyo basi tena.
Hahahaha acha mkuuShikamoo kaka π€£
Hahaha watu wamepigwa kama ngoma na mpira wamefundishwa π€£π€£πWakibebwa utapigwa mdomo miaka 50 ijayo England sio mchezo
πππ Kila team mtashabikia mwaka huuHahahaha acha mkuu
Ureno anahusika vipi hapo bwashee π€£Hahaha watu wamepigwa kama ngoma na mpira wamefundishwa π€£π€£π
Argentina sio ureno
Nimekubali yaishe basiππππ Kila team mtashabikia mwaka huu
.yule ndiye Messi ππ
πͺπͺπͺEnzo Fernandez, kwake Mac Arista, Mac Arista kwake Messi..Messii..Messiiiiiiiiiiiiii..........Wwya waya wayaaa..Waya wa Umeme Wayaaaaaaa
πππ Ni kama Venezuela Kwa USAUreno anahusika vipi hapo bwashee π€£
Nyokooo πIt's coming hooome...it's coming hooome! Come on England!
Basi sawa mkuuπππ Ni kama Venezuela Kwa USA
ππ
Au sio !!? ππUkiacha ushabiki, Hamna timu humuu, na huu ndio mwisho wao. Labda messi tuu
Na ndio muda huo huo waliokufaEngland wataweza kuzuia hadi mwisho? Argentina ni hatari sana kuanzia dakika ya 80
ππͺπͺChuma ya 2 uko.
π―π―ππ₯°π₯°π―Tukubali tu Messi ni mpira na mpira ni Messi
Nyokooo πMessi ni kiumbe kingine. Nimekubali ndiye GOAT
πππNaona Team Ronaldo tuhamie Spain sasa...viva EspaΓ±aπͺπΈπ€£