FT: England 2-1 D.R. Congo | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | Julai 1, 2026 | 1:00 Usiku

Nafasi ya ubora duniani Uingereza ni ya 4 wakati DRC ni ya 46!! Hayo ni makaratasi! lakini hali halisi ndani ya uwanja mpaka mapumziko: DRC 1 0 UINGEREZA!
Swali je ule ushamba wetu wa Afrika wa kuanza kusinzia dakika za majeruhi na leo utajirudia? Harry Kane wasimchukulie poa kama Ivory Coast walivyomchukulia poa Halaand! Alichowafanyia dk za majeruhi hawatakisahau!
Lazima washinde tuu, kuna mmoja ataachia nati
 
Kwa anayejua kwanini uwanjani seat nyingi ziko wazi alafu ni game kubwa
 
England wafanye mpango wa Saka ili wazidi kuichosha defence ya Kongo. Kumbuka ikichoka tu zinaingiakama maji. Congo abadilishe kiungo aingie mwenye nguvu zaidi nankasi zaidi Moutassau na Sadiq wanatakiwa kuongezea nguvu au watolewe washatepeta.
Saka ataingia dakika ya 60-70;wakati DRC defence wako hoi.
 
Usimuamiani mtu mweusi.... Yale yale Jana Ivory cost walizingua mno !

Congo ameshindwa kushikilia bomba
 
Nafasi ya ubora duniani Uingereza ni ya 4 wakati DRC ni ya 46!! Hayo ni makaratasi! lakini hali halisi ndani ya uwanja mpaka mapumziko: DRC 1 0 UINGEREZA!
Swali je ule ushamba wetu wa Afrika wa kuanza kusinzia dakika za majeruhi na leo utajirudia? Harry Kane wasimchukulie poa kama Ivory Coast walivyomchukulia poa Halaand! Alichowafanyia dk za majeruhi hawatakisahau!
Kama nilivyosema wasimchukulie poa Harry Kane! Waafrika tuna hulka ya kusinzia dakika zikiyoyoma! Harry Kane keshaua mtu!
 
Acha England apite tu, timu za kibantu ziondolewe zote, wabaki Morocco 🇲🇦 tu ndio tumaini letu....ukiichukia Morocco wewe hupendi mpira
 
inakuaje striker wa pekee anapata nafasi ya kuiga free header ndaani 6 yard? ni upumbavu tu
 
Back
Top Bottom