FT: England 2-1 D.R. Congo | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | Julai 1, 2026 | 1:00 Usiku

FT: England 2-1 D.R. Congo | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | Julai 1, 2026 | 1:00 Usiku

Timu za kiafrika zina matatizo makubwa kutilia maanani na hii ndio maana mara kwa mara pasi zao zinapotea, yaani hata ile hali ya kujiamini hawana kabisa.

Pia naona wana tatizo la kuishiwa pumzi kadri muda unavyoenda na hii ndio iliiponza Afrika Kusini, Cote D'Ivoire na hata Congo leo kwani muda ungeongezwa walau dakika tatu tu wangepigwa bau la tatu na England.

Pia makocha wanachelewa sana kufanya mabadiliko ya wachezaji waliochoka. Bado ni ngumu sana kwa timu za kiafrika kuzitoa timu za Ulaya au Amerika ya Kusini.

Pia leo Afrika kuna tatizo kubwa sana la kukosa washambuliaji mahiri, washambuliaji waliyopo ni wa kawaida kabisa.

Mwisho, Afrika waendelee kupeleka wachezaji kwenda kucheza kwenye ligi mbalimbali za Ulaya na waachane na makocha wa kiafrika kwani hawana ujuzi na weledi kama wale wa Ulaya au Amerika ya Kusini, huo ndio ukweli, mambo ya mpira hayahitaji uzawa sijui uzalendo kwani hizo ni siasa ambazo hazitakiwi kwenye mchezo.
 
Kuna Jamaa wa Serbia bado nazidi kuamini maneno Yake kuna mdau alibisha humu, ni kwamba wachezaji wa kiafrika Ikifika dakika ya kuanzia sitini basi wanapoteza concentration, wanaanza kufanya maamuzi ya kijinga jinga yasiyo na maana...

Hili nahisi lipo kwenye damu, muda wa tukio unapozidi kwenda basi umakini unaanza kupungua, je Hili sio kweli hata kwenye maisha yetu?...
 
Lakini si watatolewa tu unaona watachukua kombe..?😀

Aisee, you really lack comprehension skills.

Nilisema timu za Afrika zote zitatoka hii hatua. Key word- HII HATUA (RO32).

Timu ya Afrika kupita hii hatua ni mafanikio hata kama haibebi kombe. Timu za Afrika zenye afadhali zote zimetolewa kizembe hii hatua huku zikiwa na advantage ya kusonga mbele. Hayo mambo ya kubeba kombe umesema wewe.
 
Kwakweli Johan Wissa amezingua. Kupiga Mpira kuelekea kwenye post baadala ya kupiga pembeni mwa kipa. Like lilikuwa goli la pili.
 
Mifumo ya Malezi ya watoto wa kiafrika walioko Ulaya na wale wenzao wa kizungu ina tofauti kubwa, Hili linajionesha kwenye matokeo ya mambo mengi...Hata uzaliwe na kukulia Ulaya Bana Tu haikubadilishi.
 
Wakuu mna over react sana. DRC kafungwa na England ambayo ipo top 5 viwango vya FIFA. Mnalaumu kama DRC wamefungwa na Moldova!
 
Wakuu mna over react sana. DRC kafungwa na England ambayo ipo top 5 viwango vya FIFA. Mnalaumu kama DRC wamefungwa na Moldova.
Ndo uhalisia uko hivyo, timu zetu zina shida , wachezaji hata wacheze Ulaya...Makosa ni Yale Yale.
 
Mifumo ya Malezi ya watoto wa kiafrika walioko Ulaya na wale wenzao wa kizungu ina tofauti kubwa, Hili linajionesha kwenye matokeo ya mambo mengi...Hata uzaliwe na kukulia Ulaya Bana Tu haikubadilishi.
Mbona Ufaransa wengi ni Waafrika na wanacheza vizuri tu? Kuna wakati wazawa huwa watatu tu.
 
Back
Top Bottom