Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
Congo wamezingua maamaeKombe la dunia wanabeba Congo
Congo wamezingua maamaeKombe la dunia wanabeba Congo
Kongo wamezingua sanaEngland washa panick na wametepeta. Wanapigwa leo
Mkuu naona unakumba enzi zako mitaa ya readings London.Congo hawana pumzi. Dakika 10 za mwisho walikuwa hoi. Kipindi cha pili kuanzia dakika ya 70 watakuwa washatepeta.
Reading,small town West of London city miji yote miwili mimi ni mwenyeji. Si umeona lakini DRC walivyochoka, na ndio maana magoli yanaingia. When you get tired you lose concentration.Mkuu naona unakumba enzi zako mitaa ya readings London.
Kwa mwendo huu ... kazi unayo.NIPO NA UK
Ulitabiri na ikawaReading,small town West of London city miji yote miwili mimi ni mwenyeji. Si umeona lakini DRC walivyochoka, na ndio maana magoli yanaingia. When you get tired you lose concentration.
Hata morocco watatokaTimu zote za Afrika zitatoka hii hatua except Morocco.
Africa huwaga hatuko serious mda mwingi tunautumia kucheka cheka tuCongo wamezingua maamae
Hata morocco watatoka
Ni yale yale tu! Africa per se ni matatizo mtupu! Ukiitazama England walikuwa wakipambana sana, wamepambania sana nchi yao! Kwa DRC sioni roho ya kupambania nchi yao! wanacheza kawaida tu liwalo na liwe!Duh Senegal next
Morocco keshaingia 16 bora na atacheza na Canada. Anapewa nafasi ya kusonga robo fainali kwa kuitoa Canada!BWatatoka vp wakati washapita hii hatua. Wengine wote wananaswa hapa.
Lakini si watatolewa tu unaona watachukua kombe..?😀Watatoka vp wakati washapita hii hatua. Wengine wote wananaswa hapa.