Sasa zikifika dakika hizo si ndio zipigwe sub zote 5 ili wachezaji wapya waingie na concentration ya kushinda!Kuna Jamaa wa Serbia bado nazidi kuamini maneno Yake kuna mdau alibisha humu, ni kwamba wachezaji wa kiafrika Ikifika dakika ya kuanzia sitini basi wanapoteza concentration, wanaanza kufanya maamuzi ya kijinga jinga yasiyo na maana...
Hili nahisi lipo kwenye damu, muda wa tukio unapozidi kwenda basi umakini unaanza kupungua, je Hili sio kweli hata kwenye maisha yetu?...
Ufaransa kwenye soka, wanamaanisha biashara, hawana masikhara. Hawaoni shida kabisa kuwa na timu yote yenye wachezaji weusi. TFF wanashindwa kabisa kutoa wachezaji 20 leo wenye umri wa miaka 10 wakawapeleka academy tofauti za timu ukubwa ulaya, wakajifunza soka kwa miaka 7, wakirudi hapa tunakuwa na kikosi cha hatari. Wao kazi kujadili mambo ya Simba na Yanga na ccmMbona Ufaransa wengi ni Waafrika na wanacheza vizuri tu? Kuna wakati wazawa huwa watatu tu.
Sasa zikifika dakika hizo si ndio zipigwe sub zote 5 ili wachezaji wapya waingie na concentration ya kushinda!
Basi hili ni tatizo kubwa sana. Mtu hata hajaingia uwanjani lakini anaingia na kupoteza concentration. Tunawahitaji sana wazungu kusogea hapaHao wapya wanaongia wanajua sio waafrica au?
Umeeambiwa Wachezaji wa kiafrica inamana haijalishi ameanza mechi au ameanzia benchi
Watu hawajui tofauti ya US na UK let alone UK na ENG