FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

Msuvaaaa🙆🏼‍♂️🙆🏼‍♂️
Inagonda Mwamba
 
Tunahitaji Ushindi zidi ya Guinea ili kupita.
 
Asante sana kwa updates
Huku nilipoTANESCO washafanya songombingo zao muda mrefu sana
 
Ni bora tu , GUINEA itoe sare na CONGO...
stars ije kupambana na Guinea Dar kwa ajili ya sare manake kumfunga CAMARA Dar itakuwa ngumu sana
 
Ni bora tu , GUINEA itoe sare na CONGO...
stars ije kupambana na Guinea Dar kwa ajili ya sare manake kumfunga CAMARA Dar itakuwa ngumu sana
Tushatolewa guinea imepata bao lala salama hatupindui kwa kamara hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…