FT: France 2-0 Morocco | World Cup 2026 | Gillette Stadium | Julai 9, 2026 | 5:00 Usiku | Morocco kazi imeshia hapa

morocco walikuwa mchuzi wa mbwa wahuni wameunywa ukiwa wamoto.. leo spain anaumizwa ila akifanikiwa kuvuka leo basi anaenda kupakatwa na ufaransa kwenye nusu fainali.
 
hahaha nonsense.. kakutana na timu gani kubwa kwenye worldcup?? timu imecheza na saudi arabia,uruguay,cape verde,ureno
We pimbi tunafish unaparamiwa!Ureno ni team ndogo!?Uruguay ni team ndogo ,Cape Verde si ndie alimuweka Argentina
Ubongo wako mdogo sana
 
We pimbi tunafish unaparamiwa!Ureno ni team ndogo!?Uruguay ni team ndogo ,Cape Verde si ndie alimuweka Argentina
Ubongo wako mdogo sana
ureno nayo unaiweka kwenye timu ambazo zinaweza kupambania kombe?? uruguay ya miaka ya 47 unaweza kusema ni timu kubwa leo? cape verde si madogo janja kabisa.. spain kapita kwa wanyonge mpaka hapo alipo bob unaelewa takwimu za mpira ww
 
Kombe la dunia linarudi palepale kwa wenyewe yaani Ulaya na Amerika Kusini na Ulaya kama kawaida anaingizaga timu nyingi katika hatua kama hii.

World Cup 2026 Ulaya imeingiza timu 6 kwenye hatua ya robo fainali Belgium, England, France, Norway, Spain na Switzerland wakati Amerika Kusini kaingiza timu moja tu safari hii ambayo ni Argentina na Afrika ni moja tu Morocco.

Tayari nusu fainali Ulaya ina uhakika wa kuingiza timu 3 na endapo Argentina itakwama kwa Switzerland basi itakua ni "The all European semi final" and final na itathibitisha ukweli kwamba kwa Ulaya huu mchezo sio kwamba ni kazi tu bali ni jadi yao kama Afrika tunavyo penda ngoma.

Ukitaka kujua kwamba Ulaya soka ni jadi angalia wanavyocheza mpira wa kushambulia badala ya huu wetu wa kiafrika wa kupaki basi tukijidanganya kwamba tunaweza kushinda bila kushambulia goli la adui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…