FT: France 2-0 Morocco | World Cup 2026 | Gillette Stadium | Julai 9, 2026 | 5:00 Usiku | Morocco kazi imeshia hapa

Hapa itakuwa ngumu sana
Spain ukuta imara haujaruhusu goli hata Moja safu nzuri ya ushambuliaji
France inawashambuliaji wakuamua mechi. Hii game itakuwa final kabisa maana France japokuwa ni dhaifu kidogo kwenye ulinzi ila wale watu wambele ni hatari sana mda wowote wanakuweka. Sema siraha ya Spain ni kumiliki mpira na wanacheza mpira ya kasi sana kwa pasi fupifupi ila Spain asijekucheza mpira kama aliocheza na ureno wa kupishana hapa France ndo mahala pake.
 
Attachments

  • FB_IMG_1783636876131.jpg
    FB_IMG_1783636876131.jpg
    98.2 KB · Views: 15
Wabaguzi hao wapuuzi....sana
Siyo Morocco tu hata South Africa walikataliwa na WaAfrica. Sasa kma hujafatilia kwanini zikataliwe timu za taifa la Morocco na South Africa na isiwe Egypt,Tunisia,Congo,Cape Verde au Senegal??Huyo Morocco tangu WC 2022, Qatar alishasimika kukataliwa!!!
 
France inawashambuliaji wakuamua mechi. Hii game itakuwa final kabisa maana France japokuwa ni dhaifu kidogo kwenye ulinzi ila wale watu wambele ni hatari sana mda wowote wanakuweka. Sema siraha ya Spain ni kumiliki mpira na wanacheza mpira ya kasi sana kwa pasi fupifupi ila Spain asijekucheza mpira kama aliocheza na ureno wa kupishana hapa France ndo mahala pake.
Nitakuwa upande wa France so akishinda kwangu nitafurahi
 
Back
Top Bottom