FT: France 2-0 Morocco | World Cup 2026 | Gillette Stadium | Julai 9, 2026 | 5:00 Usiku | Morocco kazi imeshia hapa

Morocco waache kupaki basi kama wanataka washinde hii mechi katika kipindi cha pili lakini wakiendelea kupaki basi, basi hii mechi itaisha tu katika kipindi hiki cha pili kwa ushindi kwa France.
 
France wanatakiwa kuwa quick enough eneo la mwisho...Ninachoona Morocco wako too slow kwenye kushambulia, uchezaji wao Nadhani itawahitaji wakae na mpira muda mrefu Sana kitu ambacho kitategemea na Ufaransa watakuja vipi....
 
Morocco walianza na moto wakatulizwa wakaanza kupakia bus
 
Back
Top Bottom