AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
KaakosaTumbo liko joto
KaakosaTumbo liko joto
Mbappe kakosa penatiHaaaa haaa ole wao wafike penati, Bono anaokota kama mapera
Kufungwa kupo palepale hahaha
HahahahahaaaaaJe vois l'objectif maintenant, c'est l'objectif
Leo sio El Sis tena hahahaNaitwa Mpaji Mbape Due Camavinga Kounde Mungu
Game zenye pressure muda mwingine Vinywaji havina ladha yake ya siku zote.Tumbo liko joto
Km Messi anakosa penati Mbappe ni nani asikose penati hahahaHajui kupiga penati, anatishia tishia kama Kagere
Ikitokea wameenda matuta mbape asipewe nafasi ya kupiga mpira 🙆♀️Hajui kupiga penati, anatishia tishia kama Kagere
Hakuna matuta ya viazi leo gemu inaisha dakika 97 fullIkitokea wameenda matuta mbape asipewe nafasi ya kupiga mpira 🙆♀️
Mbape kazingua, wakikakaa vibaya Morocco atatukanda..!! Hakimi kapania safari hii.Game zenye pressure muda mwingine Vinywaji havina ladha yake ya siku zote.
Team yangu ya muda wote ni France, zingine hua inategemea, Muda mwingine wakicheza team ambazo sizishabakii hua nachagua yeyote kutokana na interest flan.Leo sio El Sis tena hahaha
Hahaha hapa tupo pamoja mkuuTeam yangu ya muda wote ni France, zingine hua inategemea, Muda mwingine wakicheza team ambazo sizishabakii hua nachagua yeyote kutokana na interest flan.
Shuti mtoto lile angepiga shutinga la kushiba asingenawa hata kunawaHuyu ni kipa au jini?
Suala la muda tu, hawa waarabu wa ulaya wanaochezea Morroco ni kama waafrica.Mbape kazingua, wakikakaa vibaya Morocco atatukanda..!! Hakimi kapania safari hii.