AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Yaan Morocco maji ya shingoLeo anatolewa
Yaan Morocco maji ya shingoLeo anatolewa
Wapo vizuri ila wanakutana na wazuri zaidi yaoYaan Morocco maji ya shingo
Naichukia Nyangwisi kupata pisi Kali , nitafutie nafasi nipate mdada wa KimorokoKuna mmorocco hapa ni mgeni tunaangqlia naye hili gemu anatatupa mawili matatu kuhusu Morocco huwezi kusoma ama kusikia mtandanaoni. So much interesting. Kesho nitaanzisha uzi kuhusu Morocco kutoka kwa nondo za huyu jamaa. Anadai kuna madem dizaini wanafanana kama Vale Nafaka lakini hawana soko. Kasema ataniunganishia na mdada flani anapenda wa Morocco nimeshapata hadi facebook yake na instagram. I love ❤️ Morocco 🇲🇦
adriz de mbusii
Mwambie AXIOM APEX VERBOSE anamsalimia huyo dada yeke mwenye Makebo makubwa akikupatia namba mwambie sasa hivi nipo naangalia mpira wa France na MoroccoKuna mmorocco hapa ni mgeni tunaangqlia naye hili gemu anatatupa mawili matatu kuhusu Morocco huwezi kusoma ama kusikia mtandanaoni. So much interesting. Kesho nitaanzisha uzi kuhusu Morocco kutoka kwa nondo za huyu jamaa. Anadai kuna madem dizaini wanafanana kama Vale Nafaka lakini hawana soko Morocco. Kasema ataniunganishia na mdada flani anapenda wa waafrika nimeshapata hadi facebook yake na instagram. I love ❤️ Morocco 🇲🇦
adriz de mbusii
Akishafungwa msikimbie uziGo go go Morocco
Hahaha nasubiria goli la penaaatiMorroco imetaitiwa sana, kisingizio chetu iwe France kujaza waafrika
Ngoja tuone penaaatiWapo vizuri ila wanakutana na wazuri zaidi yao
Je vois l'objectif maintenant, c'est l'objectifMungu baba shuka usaidie mmpape ama ufaransa wasifunge penati.
Tumbo liko joto
Kakosa km Messi tu duuuhMwarabu kachoma