FT: France 2-0 Morocco | World Cup 2026 | Gillette Stadium | Julai 9, 2026 | 5:00 Usiku | Morocco kazi imeshia hapa

FT: France 2-0 Morocco | World Cup 2026 | Gillette Stadium | Julai 9, 2026 | 5:00 Usiku | Morocco kazi imeshia hapa

Ngoja wazungu weusi wakuijie na marugu why uwaseme vibaya ndugu zao ufaransa huku wakiwakataa morocco 🇲🇦 timu inayotuwakilisha na ndio tumaini letu wana Afrika.

Kweli ubaguzi na chuki hautaisha. Kuna waafrika wapo tayari kuishabikia ufaransa iliyomuuwa Gadafi na kuitosa timu kutoka afrika Morocco, ni vichekesho. Hiyo hiyo the country ilihalalisha ushoga.


Kila la kheri Morocco 🇲🇦 ♥
Ila timu ya Ufaransa ina Waafrika wengi kuliko Morocco. Hivi ni kweli Morocco walisema ushindi wao ni dedication ya nchi za Kiarabu na sio Afrika?
 
Niko hapa na masela tunafuatilia gemu.

adriz de mbusii
Leo wavaa mashuka na sendo warudi katika kazi zao za kurusha rusha makebo au sio ndugu AXIOM APEX VERBOSE 😁
Screenshot_20260709_222353_Google.jpg
 
Back
Top Bottom