AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hii game Morocco hatoboi nipo hapa labda atoboe mpira ule apenyeMbape kazingua, wakikakaa vibaya Morocco atatukanda..!! Hakimi kapania safari hii.
Hii game Morocco hatoboi nipo hapa labda atoboe mpira ule apenyeMbape kazingua, wakikakaa vibaya Morocco atatukanda..!! Hakimi kapania safari hii.
Umebeti nini mkuu?Game zenye pressure muda mwingine Vinywaji havina ladha yake ya siku zote.
Ndio maana nashangaa wapo wengi uholanziWamorocco wengi ambao wanaishi uholanzi na Ubelgij wlni jamii ya Rievaa ndio hao akina hakimi. Walikimbilia wengi sana Ubelgij na uhalanzi baada ya mfalme Hassan 2 kuwaua kwasababu waliasi walikuwa wanataka kujitenga na kuwa nchi. Ila sasa hivi Morocco 🇲🇦 ni moja.
adriz de mbusii
Oya tupe nondo tupe nondo nakubari nakubariWamorocco wengi ambao wanaishi uholanzi na Ubelgij wlni jamii ya Rievaa ndio hao akina hakimi. Walikimbilia wengi sana Ubelgij na uhalanzi baada ya mfalme Hassan 2 kuwaua kwasababu waliasi walikuwa wanataka kujitenga na kuwa nchi. Ila sasa hivi Morocco 🇲🇦 ni moja.
adriz de mbusii
Hapa hajavuta bange akivuta anabadilika anakuja na stori za Niffer na Vale NafakaOya tupe nondo tupe nondo nakubari nakubari
Hahaha oya acha basi ndio nini kubebwa anabebwajwe?
FT France 0 - 1 Morocco dk 87FT
France 3 : 1 Morocco
Hahaha mpaka uvutwe na bange kumbe hahahaHapa hajavuta bange akivuta anabadilika anakuja na stori za Niffer na Vale Nafaka
Usikimbie uzi tu shauri yako umeshacheck Momentum lakiniFT France 0 - 1 Morocco dk 87
Ngoja tuoneHuyu Manu Kone anajua aisee
Ufaransa anapeta Morocco anakusanya mabegi hahahaKazi ipo leo
🤣FT France 0 - 1 Morocco dk 87
Pale Nyuma kuna Bono sina wasiwsiUsikimbie uzi tu shauri yako umeshacheck Momentum lakini