Nasubiri goli la 3Kwenye mashindano haya ukipaki basi lazima utafungwa tu hamna namna.
Kuna bao la 3 hapo subiri usiondokeHIzi Sub za France zinaniogopesha...isije kuwacost
Wapo nyuma goli 2 hakuna sababu ya kuogopa kufunguka, ukifungwa la 3 ndo unapaki basi kuepusha aibu ya goli nyingi.Morroco wamefunguka sn watapotea
Game imeisha hii dakika 6 zimeongezwaKumtoa Kone sioni kama ni uamuzi sahihi
Ukweli ni kuwa wamekutana na wakubwa waoGame imeisha hii dakika 6 zimeongezwa
Umeona mbali mkuu hii Morocco hatoboi
Spain atafungwa na BelgiumMkuu Morocco hawezi mfunga mfaransa, hata iweje. France ni package, hapo wanamsubiri Spain au Belgium.